Thursday, June 14, 2018

RC SINGIDA KATIKA MSIBA WA BABA MZAZI WA MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI MHE. DANIEL E. MTUKA


Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi amejumuika na waombolezaji wengine kuaga mwili wa marehemu Mzee MTUKA DANIEL NGULUBA, baba mzazi wa Mbunge wa Manyoni Mashariki Mhe. DANIEL EDWARD MTUKA tarehe 12/06/2018 katika Kata ya Heka wilaya ya Manyoni mkoani Singida.

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA KWA WABUNGE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2018

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA  WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) WILAYANI NA MKOASALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA KWA TAASISI ZA SERIKALI NA WAOMBOLEZAJI WENGINE

Mbunge wa zamani wa Jimbo la Manyoni Mashariki Kapten Mstaafu. John Zefania Chiligati akitoa salamu za rambirambi kwa Mbunge wa Manyoni Mashariki Mhe. DANIEL EDWARD MTUKA tarehe 12/06/2018 katika Kata ya Heka wilaya ya Manyoni mkoani Singida.  

MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI MHE. DANIEL E. MTUKA AKIPOKEA MKONO WA POLE KUTOKA KWA WABUNGE NA WAOMBOLEZAJI WENGINE WALIOJUMUIKA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MZEE MTUKA DANIEL NGULUBA JUNI 12, 2018.
RC SINGIDA AKISALIMIANA NA WAOMBOLEZAJI WALIOJUMUIKA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MZEE MTUKA D. NGULUBA, BABA MZAZI WA MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI MHE. DANIEL E. MTUKA JUNI 12, 2018. 
"Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe"
Amen.

Imetolewa na Kitengo cha Habari na Mawasiliano
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa 
SINGIDA

No comments:

Post a Comment