Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (mgeni rasmi) akisalimiana na Afisa Elimu Taaluma mkoa wa Singida Mwl. Ayubu Mchana mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Itigi wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA yaliyofanyika tarehe 29/05/2018 katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida .
Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (mgeni rasmi) akipiga ngoma kuashiria uzinduzi rasmi wa mashindano ya michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA yaliyofanyika katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Maandamano ya wanafunzi yakiendelea kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Itigi wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Maandamano ya wanafunzi na walimu yakiendelea kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Itigi wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Wanafunzi wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Mkuu wa mkoa wa Singida akiongoza wimbo wa Mungu Ibariki Singida wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Wanafunzi wakiimba wimbo wa kuuombea mkoa wa Singida wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akiwaonyesha wanafunzi jinsi ya kucheza wimbo wa kuisifu Tanzania wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Maafisa michezo mkoa wa Singida wakiimba wimbo wa kuisifu nchi yetu Tanzania wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi Mhe. Piusi Luhende akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA mkoani Singida yaliyofanyika katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Wanafunzi washiriki wa UMISSETA na UMITASHUMTA kutoa wilaya mbalimbali za mkoa wa Singida wakimsikiliza Mhe. Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (hayupo picha) wakati akizungumza.
Mkuu wa shule ya sekondari ya Itigi Mwl. Samweli M. Kansheba akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA mkoani Singida yaliyofanyika katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Afisa Michezo Mkoa wa Singida Bw. Henry Kapella akielekeza jambowakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA mkoani Singida yaliyofanyika katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Wanariadha wakichuana mara baada ya mgeni rasmi kutangaza kuzindulia rasmi michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA mkoani Singida yaliyofanyika katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Sehemu ya meza kuu ikiongozwa na Mhe. Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (mwenye miwani), Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi Mhe. Piusi Luhende (wapili kulia) na Afisa Elimu mkoa wa Singida Mwl. Nelas Mulungu wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA mkoani Singida yaliyofanyika katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Wanafunzi wakitoa burudani wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA mkoani Singida yaliyofanyika katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Sehemu ya meza kuu
Afisa Michezo Mkoa wa Singida Bw. Henry Kapella akisoma taarifa fupi ya mashindano ya UMISSETA mkoani Singida yaliyofanyika katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Afisa Elimu mkoa wa Singida Mwl. Nelas Mulungu akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA mkoani Singida yaliyofanyika katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA mkoani Singida yaliyofanyika katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Mkuu wa mkoa Singida Dkt Rehema Nchimbi akiteta jambo na Afisa Utamaduni Bw. Seleman Beatus wakati alipotembelea viwanja mbalimbali vya michezo kushuhudia mashindano ya michezo ya UMISSETA mkoani Singida yaliyofanyika katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Mashindano ya mpira wa pete yakiendelea wakati wa ufunguzi wa michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA mkoani Singida yaliyofanyika katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida 2018.
Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (mgeni rasmi) akipiga ngoma kuashiria uzinduzi rasmi wa mashindano ya michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA yaliyofanyika tarehe 29/05/2018 katika Halmashauri ya wilaya Itigi mkoani Singida.
Imeandaliwa na:
Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano,
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Singida.
No comments:
Post a Comment