Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto) akiwa na Mtangazaji wa TBC1 Bi. Eshe Mwidini akieleza Utekeleza katika sekta mbalimbali uliofanyika katika Serikali ya Mkoa wa Singida kwa wananchi wake wakati wa kutengeneza kipindi cha TUNATEKELEZA kinachorushwa na TBC1 kila Jumatatu saa 1:00 usiku.
Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto) akiwa na Mtangazaji wa TBC1 Bi. Eshe Mwidini wakifurahia jambo wakati wa kutengeneza kipindi cha TUNATEKELEZA kinachorushwa na TBC1 kila Jumatatu saa 1:00 usiku.
Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto) akiwa na Mtangazaji wa TBC1 Bi. Eshe Mwidini akieleza kwa msisitizo Utekeleza katika sekta mbalimbali uliofanyika katika Serikali ya Mkoa wa Singida kwa wananchi wake wakati wa kutengeneza kipindi cha TUNATEKELEZA.
Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto) akiwa na Mtangazaji wa TBC1 Bi. Eshe Mwidini akijibu maswali ya Utekeleza katika sekta mbalimbali yaliofanyika katika Serikali ya Mkoa wa Singida kwa wananchi wake wakati wa kutengeneza kipindi cha TUNATEKELEZA.
Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na timu nzima inayotengeneza kipindi cha TUNATEKELEZA mara baada ya kuhitimisha mahojiano. Kutoka kulia ni Mpiga picha wa TBC1 Oliver Kubaga, Mtangazaji wa TBC1 Bi. Eshe Mwidini na Muongozaji wa picha (Director) kipindi cha TUNATEKELEZA David Lukanga.
UTEKELEZAJI KISEKTA KATIKA MIRADI ILIYOZUNGUMZIWA
Ujenzi na ukarabati wa Hospitali mpya ya Rufaa
Jengo la Wagonjwa wa nje, Wazazi na Watoto
Jengo la Uchunguzi wa Wagonjwa
Ziwa Singidani
Ukarabati wa Majengo ya Kituo cha Afya Sokoine
Ukarabati wa Majengo ya Kituo cha Afya Sokoine ukiendele
Ukarabati wa Majengo ya Kituo cha Afya Sokoine ukiendelea
SEKTA YA VIWANDA
SEKTA YA ELIMU
SEKTA YA KILIMO
SEKTA YA MAJI
MAZINGIRA
Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi ashiriki kikamilifu
katika kipindi cha TUNATEKELEZA na kueleza wananchi namna ambavyo Serikali walivyo simamia
utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo kulingana na sekta
husika ikiwemo; Afya, Elimu, Maji, Miundombinu, Kilimo, Hifadhi ya
Misitu Viwanda na Biashara, Umeme /Nishati, Mazingira, Utalii, na Mapambano
dhidi ya Rushwa pamoja na masuala yote yanayogusa ustawi wa Wananchi mkoani
Singida.
Akizungumza wakati wa kurekodi kipindi maalum cha TUNATEKELEZA
kinachorushwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC1) Mkuu wa mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi alisema kuwa Serikali ya mkoa imekuwa na juhudi za kuboresha utoaji wa huduma za sekta ya Afya, Elimu na sekta zingine kwa wananchi
wake kikamilifu.
Kwa habari zaidi tuungane pamoja siku ya Jumatatu saa 1:00 usiku katika kipindi cha TUNATEKELEZA (TBC1) kipindi ambacho kinaonyesha na kueleza tathmini ya utendaji kazi wa wakuu wa mikoa ambapo Jumatatu hii tarehe 02/04/2018 tutakuwa na Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi kueleza wananchi namna ambavyo Serikali ya awamu ya tano ilivyo simamia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo mkoani Singida.
Ahsante
No comments:
Post a Comment