Saturday, March 31, 2018

Mhe.Aysharose Mattembe akabidhi mifuko 700 ya Saruji ili kuboresha Miundombinu ya Elimu Mkoani Singida


Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (kulia) wakipeana mkono na Mbunge wa viti maalum (CCM) Mhe. Aysharose Mattembe kuashiria shukrani na kupokelewa rasmi mifuko ya Saruji 700 ili kuboresha Miundombinu ya Elimu Mkoani Singida.

Viongozi mbalimbali kutoka Sekretarieti ya Mkoa Singida, Halmashauri, Chama (kushoto) na Kampuni ya Simba Cement wakishuhudia makabidhiano ya mifuko ya saruji na kupongeza juhudi za Mbunge wa viti maalum Mhe. Aysharose Mattembe katika  uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu mkoani Singida.

Baadhi ya Mifuko ya Saruji ikiwasilishwa kwenye eneo la tukio wakati wa hafla ya kukabidhi mifuko ya Saruji kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi.

Katibu Tawala Mkoa Singida Dkt. Angelina Lutambi (kulia) akitambulisha viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama na Kampuni ya Simba Cement waliohudhuria katika hafla ya kukabidhi mifuko ya Saruji kwa  Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Reheme Nchimbi. Aliyenyoosha mikoni ni mwakilishi wa Kampuni ya Simba Cement Kanda ya Kati.

Katibu Tawala Mkoa Singida Dkt. Angelina Lutambi (kulia) akitambulisha viongozi mbalimbali wa Serikali, chama na kampuni ya Simba Cement waliohudhuria katika hafla ya kukabidhi mifuko ya Saruji kwa  Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi. 


Katibu Tawala Mkoa Singida Dkt. Angelina Lutambi (kulia) akimtambulisha kiongozi mbalimbali wa Serikali, chama na kampuni ya Simba Cement waliohudhuria katika hafla ya kukabidhi mifuko ya Saruji kwa  Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi.

Kikundi cha Ngoma za Kinyaturu kutoka Manispaa ya Singida kikicheza Ngoma za Asili za kabila hilo siku ya hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi iliyofanyika katika uwanja wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa Singida.





Mbunge wa viti maalum (CCM) Mhe. Aysharose Mattembe wa kwanza kulia akiungana kwa furaha kwa kucheza pamoja na kikundi cha Ngoma za asili ya kabila la Kinyaturu mkoani Singida wakati wa hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi.






Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto) akimpongeza Mbunge wa viti maalum (CCM) Mhe. Aysharose Mattembe mara baada ya kucheza pamoja na kikundi cha Ngoma za asili ya kabila la Kinyaturu mkoani Singida wakati wa hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji.

Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (wa pili kutoka kushoto) akifurahia utenzi na mashairi ya msanii maarufu mkoani Singida MC Kiherehere (hayupo pichani) alipokuwa akitoa pongezi kwanjia ya utenzi wa shairi wakati wa hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji.


Mtunzi na mwimbaji wa mashairi mkoani Singida MC Kiherehere (aliyeshika karatasi) akisoma shahiri la utenzi wa pongezi wakati wa hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji.


Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (kulia) akimpongeza msanii maarufu mkoani Singida MC Kiherehere mara baada ya kumaliza na kuwasillisha utenzi wa mashairi yenye ujumbe wa pongezi kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi, Mhe. Aysharose Mattembe (MB) pamoja na Serikali ya  awamu ya tano kwa ujumla watika wa hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji.




                                                 Sehemu ya Viongozi wa Serikali


Mbunge wa viti maalum (CCM) Mhe. Aysharose Mattembe wa kwanza kushoto pamoja na Mkuu wa Mkoa Singida wakifurahia jambo siku ya hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi ili kuboresha miundombinu ya elimu mkoani Singida.

Katibu wa CCM mkoa wa Singida Jimson Mhagama akitoa salama za pongezi kwa Mbunge wa viti maalum (CCM) Mhe. Mhe. Aysharose Mattembe wakati wa hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi kwa lengo la kuboresha miundombinu ya elimu mkoani Singida.


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida Mbua Gwae Chima akitoa salamu za pongezi na shukrani kwa Mbunge viti maalum (CCM) Mhe. Aysharose Mattembe wakati wa hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu mkoani Singida.

Mbunge wa viti maalum (CCM) Mhe. Aysharose Mattembe wa kwanza kulia akinukuu jambo siku ya hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi. Kulia kwake ni mwakilishi wa kampuni ya Simba Cement kanda ya Kati.

Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akisikiliza kwa makini salamu za katibu wa CCM mkoa wa Singida Jimson Mhagama alipokuwa akitoa salama za pongezi kwa Mbunge wa viti maalum (CCM) Mhe. Mhe. Aysharose Mattembe wakati wa hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu mkoani Singida.


Mbunge wa viti maalum (CCM) Mhe. Aysharose Mattembe akieleza maudhui ya tukio hilo la kukabidhi mifuko ya saruji kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi ikiwa ni pamoja na kuonyesha upendo wa dhati kwa wananchi wa mkoa Singida katika kuinua elimu na kuboresha miundombinu ya elimu mkoani Singida.




Wajumbe wa Jumuiya ya wanawake (UWT) Tanzania mkoa wa Singida wakipongeza jambo wakati Mbunge wa viti maalum (CCM) Mhe. Aysharose Mattembe akieleza maudhui ya tukio hilo la kukabidhi mifuko ya saruji kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi.




Mheshimiwa Diana Chilolo akicheza kwa furaha kuelekea meza kuu kwaajili ya kumpongeza Mbunge wa viti maalum (CCM) Mhe. Aysharose Mattembe mara baada ya kumaliza hotuba yake na maudhui ya tukio hilo la kukabidhi mifuko ya saruji kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi.




Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (wa kwanza kulia) pamoja na Mbunge viti maalum (CCM) Mhe. Aysharose Mattembe wakicheza muziki wa pamoja na kundi la Jumuiya ya wanawake (UWT) Tanzania mkoa wa Singida wakati wa hafla ya kukabidhiwa mifuko ya saruji kwa Mkuu wa Mkoa Singida ili kuboresha miundombinu ya elimu mkoani Singida.

Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi mwenye miwani pamoja na wajumbe wengine wakicheza muziki kwa furaha katika siku ya makabidhiano ya mifuko ya saruji kutoka kwa Mbunge viti maalum (CCM) Mhe. Aysharose Mattembe (mwenye kilemba chekundu).

Mbunge viti maalum (CCM) Mhe. Aysharose Mattembe akicheza muziki wa pamoja na 
Jumuiya ya Wanawake (UWT) Tanzania mkoa wa Singida wakati wa hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi.

Jumuiya ya Wanawake (UWT) Tanzania mkoa wa Singida wakicheza muziki wa pamoja wakati wa hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji kwa Mkuu wa Mkoa Singida.

Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akizungumza jambo wakati wa hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji kwa Mkuu wa Mkoa Singida ili kuboresha Miundombinu ya Elimu mkoani Singida.

Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akiwasisitizia jambo Jumuiya ya Wanawake (UWT) Tanzania mkoa wa Singida.



Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama tawala (CCM), Mwakilishi wa kampuni ya Simba Cement pamoja na Jumuiya ya Wanawake (UWT) Tanzania mkoa wa Singida. 




Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akabidhi viongozi wa Halmashauri husika mifuko ya saruji mara baada ya kupokea kutoka kwa Mbunge wa viti maalum (CCM) Mkoa wa Singida Mhe. Aysharose Mattembe kwa  ajili ya kuboresha Miundombinu ya Elimu Mkoani Singida











Picha ya muunganiko wa mikono yenye kuashiria umoja huletao nguvu, mshikamano, uchapakazi, uzalendo ndio msingi wa kuboresha maendele katika mkoa wa Singida na Taifa Tanzania.

Mbunge wa viti maalum (CCM) Mhe. Aysharose Mattembe kushoto akimshukuru Mhe. Diana Chilolo mara baada ya hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji kukamilika.



Mwakilishi wa kampuni ya Simba Cement akiagana na Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi mara baada ya hafla ya kukabidhiwa mifuko ya saruji.

Mbunge wa viti maalum (CCM) Mhe. Aysharose Mattembe (mwenye kilemba chekundu) akimsingikiza Mhe. Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi mara baada ya hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji kukamilika. Kutoka kushoto Mwalimu Eva Mosha mwakilishi wa  Afisa Elimu Mkoa Singida.

No comments:

Post a Comment