Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akifungua rasmi kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Muonekano wa sehemu ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kikiwa katika hali ya usafi uliosifiwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour wakati akifungua
rasmi kituo hcho. Ujenzi wa kituo
hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo
hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na viongozi wa Manispaa ya Singida wakisubiria kupanda basi ambalo lilifungua rasmi huduma ya usafiri wa mabasi katika kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Ujenzi wa kituo
hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo
hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na Mkimbiza Mwenge kitaifa Fredrick Ndahani wakiwa ndani ya basi lililowaingiza ndani ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kama sehemu ya uzinduzi wa kituo hicho. Ujenzi wa kituo
hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo
hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akishuka kutoka ndani ya basi
lililowaingiza ndani ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida
kama sehemu ya uzinduzi wa kituo hicho. Ujenzi wa kituo
hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo
hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Mabasi na wananchi wa Singida wakianza kutumia rasmi kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kilichozinduliwa na mwenge wa uhuru 2017. Ujenzi wa kituo
hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo
hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja. Kituo hicho kimesifiwa kutokana na kuwa katika hali ya usafi huku mikoa mingine ikitakiwa kuiga mfano huo.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na
viongozi wa Manispaa ya Singida wakikagua kituo kikuu na cha
kisasa cha mabasi Singida. Ujenzi wa kituo
hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo
hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na
viongozi wa Manispaa ya Singida wakikagua kituo kikuu na cha
kisasa cha mabasi Singida. Ujenzi wa kituo
hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo
hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akikabidhi mizinga mitano ikiwa ni sehemu ya mizinga 40 kwa timu ya Mpira wa Miguu ya Stendi Misuna mara baada ya kuzindua kituo kikuu na cha
kisasa cha mabasi Singida. Timu hiyo inayoundwa na wakata tiketi imekuwa ni chachu ya kuhakikisha kituo hicho kinakua na ulinzi na usalama wa hali wa juu pamoja na kupinga vitendo vya kuvunja sheria kama utumiaji wa madawa ya kulevya.
No comments:
Post a Comment