Thursday, October 27, 2016

TAARIFA KWA UMMAWaumini wa dini za kikristo na Kiislamu wakitoa sadaka kuwafariji wahanga wa tetemeko la ardhi Kagera mara baada ya ibada ya kuliombea taifa amani. 

Mtoto mwenye ndoto za kuwa rais wa Tanzania mwaka 2050 akitoa sadaka ya shilingi elfu 30 kwa ajili ya kuwafariji watoto wahanga wa tetemeko la ardhi Kagera, anayepokea ni mkuu wa mkoa wa Singida Mheshimiwa Mhandisi Mathew John Mtigumwe 
Mkuu wa mkoa wa Singida Mheshimiwa Mhandisi Mathew John Mtigumwe akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu na kikristo waliojitokeza kuliombea taifa amani.

No comments:

Post a Comment