Saturday, June 14, 2014

LAPF YAWAELIMISHA WANACHAMA MKOANI SINGIDA JUU YA MFUKO HUO.

Meneja LAPF Kanda ya Kati Zacharia Machoke akitoa semina juu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa LAPF na mafao yake kwa wanachama wake (hawapo pichani).

Mkuu wa Matekelezo LAPFA Kanda ya Kati Zacharia Machoke akitoa semina juu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa LAPF na mafao yake kwa wanachama wake (hawapo pichani).

Baadhi ya wanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya kijamii wa LAPF wakifuatilia kwa makini semina juu ya mafao ya mfuko huo.

Baadhi ya wanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya kijamii wa LAPF wakifuatilia kwa makini semina juu ya mafao ya mfuko huo.

No comments:

Post a Comment