Friday, June 13, 2014

MAFUNZO JUU YA MPANGO KAZI WA HAKI ZA BINADAMU WAKAMILIKA.


Katibu Tawala Mkoa wa Singida Liana Hassan akifunga mafunzo ya Mpango kazi wa Tume ya Haki za Binadamu, Kulia kwake ni Mratibu wa Mpango Kazi wa Haki za Binadamu kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Laurent Buliro.

Eng. Deusdedith Magoma Magoma kutoka halmashauri ya Manyoni akishukuru  kwa niaba ya washiriki wa semina hiyo, amesema mafunzo hayo yatasaidia katika kuhakikisha haki za binadamu na utawala bora unazingatiwa katika maeneo yao ya kazi.

Washiriki walioteuliwa (focal persons) kuanzisha mpango kazi wa Tume za Haki za Binadamu.

No comments:

Post a Comment