Naibu Katibu Mkuu Ofis ya Rais - Ikulu Suzan Paul Mlawi akiwa katika ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Singida kabla ya kuanza ziara ya siku mbili ya kukagua miradi ya TASAF Mkoani Singida.
Naibu Katibu Mkuu Ofis ya Rais - Ikulu Suzan Paul Mlawi akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko V. Kone pamoja na viongozi wengine wa Mkoa wa Singida.
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Singida Aziza Mumba akisoma taarifa ya utekelezaji wa TASAF awamu ya tatu Mkoani Singida kwa Naibu Katibu Mkuu Ofis ya Rais - Ikulu Suzan Paul Mlawi.
Mratibu TASAF Mkoa wa Singida Patrick Kassango (katikati) akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Ofis ya Rais - Ikulu Suzan Paul Mlawi (hayupo pichani) kabla ya kuanza ziara ya kutembelea miradi ya TASAF Mkoa wa singida, kushoto kwake ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida Sheikh Salum Mahami.
No comments:
Post a Comment