Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe Dr Jakaya Mrisho Kikwete amemtunuku Dr Parseko Vicent Kone Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la kwanza kwa Utumishi wa muda mrefu na uliotukuka.
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Parseko Vincent Kone baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza.
|
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani za Jamhuri ya
Muungano daraja la kwanza. | | | | |
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani za Jamhuri ya
Muungano daraja la kwanza, Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja
la kwanza na Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la pili na
Ushupavu Jumanne Juni 23, 2015 katika ukumbi mpya wa mikutano wa Ikulu
jijini Dar es salaam.
|
No comments:
Post a Comment