Sunday, January 14, 2018

HABARI PICHA: UJENZI WA MIUNDOMBINU YA VITUO VYA AFYA ILI KUVIWEZESHA KUTOA HUDUMA ZA UPASUAJI WA DHARURA KWA WAJAWAZITO


Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Angelina Mageni Lutambi akifungua kikao kazi kuhusiana na Ukarabati na Ujenzi wa Miundombinu ya Vituo vya Afya , Kikao kazi hiki kilijumuisha  Watendaji na Wenyeviti wa Halmashauri za Mkalama, Itigi na Iramba.
 

          
 
                                           
Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida akiwa pamoja na Makatibu Tawala Wasaidizi  wakikagua Ujenzi wa Jengo la Upasuaji Kituo cha Afya Sokoine, Manispaa ya Singida


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -TAMISEMI, Mhe.Suleiman Jaffo (Mb) akipewa maelekezo ya Ujenzi wa Kichomea taka (Incinerator) katika Kituo cha Afya Ihanja, Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi.

No comments:

Post a Comment