Thursday, January 26, 2017

NAIBU WAZIRI ELIMU MHANDISI MANYANYA AFANYA ZIARA MKOANI SINGIDA NA KUHAMASISHA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI YA WATU WAZIMA.


Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akiwasili katika halmashauri ya Wilaya ya Singida ambapo alipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Singida Eliya Digha.

Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo akimkaribisha Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya ili aweze kuzungumza na watumishi wa halmashauri ya Singida.
Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule aliyoitembelea kukagua na kuhamasisha elimu ya watu wazima.
 

Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akiwa amekaa kwenye moja ya darasa lenye wanafunzi walio katika mpango ulio nje ya mfumo rasmi wa elimu ya watu wazima.

Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akikagua daftari la mwanafunzi wa elimu ya watu wazima.

No comments:

Post a Comment