Mkuu wa
Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (mwenye kitambaa cha pink) akisaidiwa
kuvuna muhongo aliozawadiwa na mkulima wa kijiji cha Mwankonko Manispaa ya
Singida Gideoin Itambu juzi alipofanya ziara katika Manispaa ya Singida kukagua
shughuli za kilimo.

Mkuu wa Mkoa
wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akikagua shamba la muhongo kwenye shamba
la mkulima wa kijiji cha Mwankoko Manispaa ya Singida Gideion Itambu juzi na
kuagiza shule zote za Msingi na Sekondari Mkoani Singida kuhakikisha zinakuwa
na shamba la muhongo lisilopungua ekari moja kwa ajili ya chakula cha wanafunzi na
nusu ekari kwa ajili ya chakula cha walimu.
Mkuu wa Mkoa
wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akipanda muhongo kwenye shamba la mkulima wa
kijiji cha Mwankoko Manispaa ya Singida Gideon Itambu.
No comments:
Post a Comment