Wednesday, November 09, 2016

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew John mtigumwe aliyevaa kofia nyeusi akikagua ujenzi wa Daraja la sibiti, pembeni yake ni Meneja wa wakala wa barabara mkoani Singida Mhandisi Leonard kapongo, na mhandisi mkazi sunil Kumar Singh. 

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew John mtigumwe aliyevaa kofia nyeusi akikagua ujenzi wa Daraja la sibiti, pembeni yake ni Meneja wa wakala wa barabara mkoani Singida Mhandisi Leonard kapongo, na mhandisi mkazi sunil Kumar Singh. 

 Ujenzi wa Daraja la Mto Sibiti linalounganisha Mkoa wa Singida na Mkoa wa Simiyu ukiendelea.

No comments:

Post a Comment