Thursday, June 09, 2016

UZINDUZI WA MASHINDANO YA UMISETA MKOANI SINGIDA KATIKA PICHA

Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dokta Angelina Mageni Lutambi akiwaasa wanafunzi kutoka shule mbalimbali za sekondari Mkoani kuwa na nidhani katika michezo na kufanya bidii kwakuwa michezo ni ajira.
Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dokta Angelina Mageni Lutambi akiingia uwanjani kupiga penati kuashiria kuanza rasmi kwa michezo ya umisseta Mkoani hapa , pembeni yake ni Afisa Michezo Mkoa wa Singida Henry Kapela.

Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dokta Angelina Mageni Lutambi akipiga penati, mlinda mlango ni Zurfa Maulidi mwanafunzi wa shule ya sekondari Ipembe Manispaa ya Singida.

Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dokta Angelina Mageni Lutambi akipiga penati, mlinda mlango ni Zurfa Maulidi mwanafunzi wa shule ya sekondari Ipembe Manispaa ya Singida.

Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dokta Angelina Mageni Lutambi akishangilia ushindi baada ya kumfunga mlinda mlango Zurfa Maulidi mwanafunzi wa shule ya sekondari Ipembe Manispaa ya Singida.

Afisa Michezo wa Mkoa Henry Kapela akimpongeza Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dokta Angelina Mageni Lutambi kwa kushinda penati.

Katibu Tawala Msaidizi sehemu ya Elimu Florian Kimolo akisalimiana na moja ya timu kabla ya mechi kuanza.
Mechi ya Mpira wa Miguu kati ya wasichana wa Shule ya Sekondari ya Ikungi na Mkalama Ikiendelea.

No comments:

Post a Comment