Thursday, December 10, 2015

UHURU NA USAFI, OFISI YA MKUU WA MKOA WA SINGIDA.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Kone na Katibu Tawala wa Mkoa Festo Kang'ombe wakishiriki zoezi la usafi katika eneo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Kone akishiriki zoezi la usafi katika eneo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.

Katibu Tawala wa Mkoa Festo Kang'ombe na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Ernest Mgeta wakishiriki zoezi la usafi katika eneo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.
 
Baadhi ya watumishi wakishiriki zoezi la usafi katika eneo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.
Baadhi ya watumishi wa ofisi ya Mshauri wa Mgambo wakishiriki zoezi la usafi katika eneo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.
Baadhi ya watumishi wakishiriki zoezi la usafi katika eneo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.
 
Baadhi ya watumishi wakishiriki zoezi la usafi katika eneo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.
Baadhi ya watumishi wakishiriki zoezi la usafi katika eneo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.
  Baadhi ya watumishi wakishiriki zoezi la usafi katika eneo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.
 Baadhi ya watumishi wakishiriki zoezi la usafi katika eneo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.
Baadhi ya watumishi wakishiriki zoezi la usafi katika eneo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.

No comments:

Post a Comment