Saturday, January 02, 2016

MKUU WA MKOA WA SINGIDA MHE. DR PARSEKO V.KONE ASHEREKEA SIKUKUU YA MWAKA MPYA NA JAMII YA WAHADZABE

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dr Parseko V. Kone asherekea siku kuu ya Mwaka mpya na jamii ya Kihadzabe katika kitongoji cha Mpamba wilayani Mkalama mkoani Singida kwa kuwapelekea vyakula, mbuzi na vinywaji.
Jamii ya kihadzabe ikimpokea kwa furaha Mkuu wa Mkoa Dr Kone aliye ambatana na Mkuu wa Wilaya ya Mkalama na Mkuu wa Wilaya ya Singida

MKUU WA MKOA DR KONE AKIWA NDANI YA NYUMBA YA ASILI YA WAHADZABE

VYAKULA NA VINYWAJI AMBAVYO MKUU WA MKOA ALIWAPATIA WAHADZABE

MKUU WA MKOA MHE. DR KONE NA MKUU WA WILAYA YA SINGIDA MHE.SAID AMANZI WAKISALIMIANA NA KIONGOZI WA WAHADZABE

DR. PARSEKO V. KONE MKUU WA MKOA WA SINGIDA AKIKABIDHI VYAKULA

MKUU WA MKOA DR. KONE AKIWAPA WATOTO WA JAMII YA KIHADZABE VINYWAJI

WANAJAMII YA KIHADZABE WAKIWA WAMEKETI WAKIJIANDAA KUSIKILIZA UJUMBE WA MKUU WA MKOA

DR. PARSEKO V. KONE AKIWAHUTUBIA WAHADZABE,AKIWASISITIZA JUU YA KUWAPELEKA WATOTO SHULE NA KUWAAGIZA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MKALAMA NA AFISA KILIMO KUWAPELEKEA WAHADZABE MBEGU ZA MIHOGO NA VIAZI VITAMU  ILI WAWEZE KULIMA MAZAO HAYO NA KUJIPATIA CHAKULA CHAKULA

MTOTO WA  KIHADZABE ALIYEPEWA JINA LA MKUU WA MKOA KONE AKISALIMIANA NA DR.KONE

MKUU WA MKOA DR.KONE AKIMTAMBULISHA RASMI MKUU WA WILAYA YA MKALAMA MHE.CHRISTOPHER KWA JAMII HIYO YA WAHADZABE

DR. PARSEKO V. KONE MKUU WA MKOA WA SINGIDA AKIKABIDHI VYAKULA KWA JAMII YA KIHADZABE

AFISA TEHAMA WA SEKRETARIATI YA MKOA IT BARAKA MHEMBANO AKIWA NA WATOTO WA JAMII YA KIHADZABE

VYAKULA VIKISHUSHWA

MTOTO KONE AKIKABIDHI ZAWADI YA ASALI KWA MKUU WA MKOA,WAKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI

MTOTO WA KIHADZABE ANAYEITWA KONE AKIMKABIDHI ZAWADI YA ASALI MKUU WA WILAYA YA MKALAMA MHE.CHRISTOPHER

WANAJAMII YA KIHADZABE WAKIMSIKILIZA KWA UMAKINI MKUBWA MHE. MKUU WA MKOA DR.KONE

MKUU WA MKOA DR KONE ( WA KWANZA UPANDE WA KULIA) AKIWA NJE YA NYUMBA YA JAMII YA KIHADZABE AKIZUNGUMZA  NA MAMA WA BINTI WA KIHADZABE ANAYESOMA CHUO KIKUU CHA ARDHI ANAYESAIDIWA NA MKUU WA MKOA WA SINGIDA DR.KONE

KAIMU KATIBU WA MKUU WA MKOA NDUGU MARTIN FUTE AKIWA ANAWEKA KUMBUKUMBU VIZURI ZA MAAGIZO YA MKUU WA MKOA

NYAMA YA MBUZI WA KOCHOMA ILIYOCHOMWA KWA USTADI NA WAHADZABE IKIWA TAYARI KWA  KULIWA

MKUU WA WILAYA YA MKALAMA MHE. CHRITOPHER (KULIA) AKIZUNGUMZA JAMBO NA MKUU WA WILAYA YA SINGIDA MHE. AMANZI

WAHADZABE WAKILA CHAKULA PAMOJA NA MKUU WA MKOA NA WAGENI WENGINE

MKUU WA MKOA NA WAKUU WA WILAYA WAKILA NYAMA YA KUCHOMA PAMOJA NA JAMII YA KIHADZABE

MKUU WA MKOA NA WAKUU WA WILAYA WAKILA NYAMA YA KUCHOMA PAMOJA NA JAMII YA KIHADZABE

WAKUU WA WILAYA YA MKALAMA NA SINGIDA WAKIZUNGUMZA JAMBO NA KIONGOZI  WA WAHADZABE

MKUU WA MKOA NA MKUU WA WILAYA WAKIFURAHIA JAMBO NA VIONGOZI WA WAHADZABE

KIONGOZI WA WAHADZABE AKISOMA RISALA

MKUU WA MKOA WA SINGIDA MHE.SAID AMANZI AKIWASALIMIA WAHADZABE


DR.KONE MKUU WA MKOA AKIENDELEA KUHUTUBIA

WAHADZABE WAKIMSIKILIZA DR KONE

MKUU WA MKOA AKIWASISITIZAA WAHADZABE KUHUSIANA NA KUPELEKA WATOTO SHULE


KIONGOZI WA WAHADZABE AKIFAFANUA JAMBO

MKUU WA MKOA AKIZUNGUMZA NA WANAJAMII

KAIMU KATIBU WA  MKUU WA MKOA NDUGU MARTIN FUTE AKIFUATILIA KWA UMAKINI HOTUBA YA MKUU WA MKOA KWA JAMII YA KIHADZABE

WATOTO WA KIHADZABE WAKIMSIKILIZA MKUU WA MKOA

MHE. DIWANI WA KATA AKIWASALIMIA WAHADZABE

AFISA TEHAMA WA SEKRETARIATI YA MKOA IT BARAKA AKIWA  NJE YA NYUMBA WAHADZABE


KAIMU MKUUGENZI WA HALMASHAURI YA MKALAMA AKIFAFANUA JAMBO

DR.KONE AKIPOKEA RISALA ALIYOSOMEWA NA KUMPONGEZA MUANDISHI KWA MUANDIKO NA MPANGILIO MZURI


MKUU WA WILAYA YA SINGIDA MHE AMANZI AKIPOKEA ZAWADI YA ASALI KUTOKA KWA MTOTO KONE

MKUU WA WILAYA YA MKALAMA  MHE.CHRISTOPHER AKIZUNGUMZA NA WAHADZABE

MKUU WA WILAYA YA MKALAMA  MHE.CHRISTOPHER AKIENDELEA KUZUNGUMZA NA WAHADZABE

KIONGOZI WA WAHADZABE AKIMKABIDHI RISALA MKUU WA MKOA

 
WAHADZABE WALIVYOMPOKEA MKUU WA MKOA DR.KONE KWA KUIMBA NA KUCHEZA


No comments:

Post a Comment