Thursday, October 01, 2015

MBIO ZA MWENGE WA UHURU KWA MWAKA 2015 ZAANZA RASMI MKOA SINGIDA.(PICHA)

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joel Bendera akijiandaa kumkambidhi mwenge wa uhuru Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone.
 
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone akiupokea mwenge wa uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joel Bendera.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joel Bendera kwa kukamilisha mbio za mwenge wa uhuru kwa mwaka 2015 Mkoani Manyara salama.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone akimpokea Kiongozi wa wakimbiza mwenge kitaifa mwaka 2015 Juma Khatib Chum.
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2015 Juma Khatib Chum akivalishwa skafu mara baada ya kupokelewa Mkoani Singida.
 
Mwenge wa uhuru mwaka 2015 ukiwa Mkoani Singida, Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone akiwa tayari ameupokea.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Said Ali Amanzi akiupokea mwenge wa uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone tayari kwa kukimbizwa katika katika halmashauri ya Singida. 

 
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone akiwa na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa na wilaya pamoja na sekretarieti ya Mkoa wakiushangilia mwenge wa uhuru. 


No comments:

Post a Comment