Thursday, May 15, 2014

YALIYOJIRI: WIKI YA ELIMU MKOANI SINGIDA KATIKA PICHA.

Wanafunzi wa Sekondari ya Ilongero iliyoko kata ya Ilongero Halmashauri ya Wilaya ya Singida wakitoa ufafanuzi wa Moanyesho ya Sayansi kwa Mgeni rasmi Katibu Tawala Msaidizi Elimu Mwl. Fatma Kilimia (hayupo pichani) pamoja na wageni waalikwa.

Wanafunzi wa Sekondari ya Ilongero iliyoko kata ya Ilongero Halmashauri ya Wilaya ya Singida wakitoa ufafanuzi wa Moanyesho ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEKNOHAMA) Mgeni rasmi Katibu Tawala Msaidizi Elimu Mwl. Fatma Kilimia pamoja na wageni waalikwa.

Mgeni rasmi Katibu Tawala Msaidizi Elimu Mwl. Fatma Kilimia akihutubia wanafunzi, waalimu, wageni waalikwa na wananchi waliohudhuria maadhimisho ya wiki ya Elimu yaliyofanyika katika Sekondari ya Ilongero Tarafa ya Ilongero Halmashauri ya Wilaya ya Singida.
 
Maktaba ya kisasa iliyoko katika Sekondari ya Ilongero Tarafa ya Ilongero Halmashauri ya Wilaya ya Singida. 
Maktaba ya kisasa iliyoko katika Sekondari ya Ilongero Tarafa ya Ilongero Halmashauri ya Wilaya ya Singida.

No comments:

Post a Comment