Monday, November 10, 2014

MKUU WA MKOA WA SINGIDA ATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE WAISHIO MKOANI SINGIDA (PICHA).

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Pareko V. Kone,  Katibu Tawala Wilaya ya Mkalama Benjamin Mwombeki na mwenyekiti wa jamii ya wahadzabe Shiili Mashimba wakiwa nje ya moja ya makazi ya jamii ya wahadzabe.










Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Pareko V. Kone,  Katibu Tawala Wilaya ya Mkalama Benjamin Mwombeki wakimsalimia mwananmke wa jamii ya wahadzabe.

Wanaume wahadzabe wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Pareko V. Kone alipowatembelea kijijini kwao Kipamba Kata ya Mwangeza Wilaya ya Mkalama.



















Wanawake wahadzabe wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Pareko V. Kone alipowatembelea kijijini kwao Kipamba Kata ya Mwangeza Wilaya ya Mkalama.


Mtoto Kone Paschali aliyepewa jina la Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Pareko V. Kone akipewa maji na Dokta Kone, Mtoto huyo alizaliwa siku ya ambayo Dokta Kone aliwatembelea kwa mara ya kwanza jamii ya wahadzabe.




















Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Pareko V. Kone,  Katibu Tawala Wilaya ya Mkalama Benjamin Mwombeki na mwenyekiti wa jamii ya wahadzabe Shiili Mashimba wakiwa ndani ya moja ya makazi ya jamii ya wahadzabe.


















Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Pareko V. Kone,  Katibu Tawala Wilaya ya Mkalama Benjamin Mwombeki na mwenyekiti wa jamii ya wahadzabe Shiili Mashimba wakiwa ndani ya moja ya makazi ya jamii ya wahadzabe.

No comments:

Post a Comment