Friday, October 03, 2014

(PICHA) MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI YAFANA MKOANI SINGIDA.

KAULI MBIU, 'WAZEE WASIACHWE NYUMA TUJENGE JAMII SHIRIKISHI'.




















Wazee Mkoani Singida  wakionyesha igizo juu ya kuporomoka kwa maadili ya vijana ambao hupata watoto na kuwatelekeza kwa wazee hao ili wawalee hali inayo waongezea majukumu wakati kipato chao ni kidogo.




















Mwalimu Mstaafu Mzee Shaaban Haji Mgoo akisoma risala ya wazee kwa Mgeni rasmi, mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa, Bi Aziza Mumba.


Mwenyekiti wa Wazee Mkoa wa Singida Ramadhan Juma akimshukuru Mgeni rasmi, mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa, Bi Aziza Mumba pamoja na serikali kwa ushirikiano wanaouonyesha katika kusaidia wazee Mkoani hapa.




















Afisa Ustawi wa jamii Mkoa wa Singida Zuhura Karya, akitoa taarifa fupi kuhusu wazee Mkoani Singida wakati wa maazimisho ya siku ya wazee duniani Mkoani Singida.





















Wazee wa Mkoa wa Singida wakiwa katika maadhimisho ya siku ya wazee dunia Mkoani Singida.




















Wazee wa Mkoa wa Singida wakiwa katika maadhimisho ya siku ya wazee dunia Mkoani Singida.

Mgeni rasmi, mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa, Bi Aziza Mumba akisoma risala ya wazee wa Mkoa wa Singida katika maadhimisho ya siku ya wazee duniani Mkoa wa Singida.

No comments:

Post a Comment