Friday, September 14, 2018

RC SINGIDA AMEZINDUA RASMI HUDUMA YA UTOAJI WA PASIPOTI MPYA ZA KIELETRONIKI (E-PASSPORT) MKOANI SINGIDA

MATUKIO YA PICHA WAKATI WA UZINDUZI WA HUDUMA YA UTOAJI WA PASIPOTI MPYA ZA  KIELETRONIKI (E-PASSPORT)  MKOANI SINGIDA ULIORATIBIWA NA  IDARA YA UHAMIAJI MKOA WA SINGIDA NA KUZINDULIWA NA MKUU WA MKOA WA SINGIDA MHE. DKT. REHEMA NCHIMBI, JANA TAREHE 13/09/2018 MKOANI SINGIDA.





























Viongozi wa Dini na Madhehebu mbalimbali wa mkoa wa Singida waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa utoaji huduma wa pasipoti mpya za kieletroniki (e-Passport) mkoani Singida.






Viongozi wa Serikali na Vyama vya Kisiasa mkoa wa Singida waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa utoaji huduma wa pasipoti mpya za kieletroniki (e-Passport) mkoani Singida.




Sehemu ya meza kuu
















Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (katikati), Katibu Tawala mkoa Singida (kushoto), Kamishna wa Idara ya Uhamiaji mkoa wa Singida (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Singida katika hafla ya uzinduzi wa utoaji huduma wa pasipoti mpya za kieletroniki (e-Passport) iliyonyika mkoani Singida.









IMETOLEWA NA:
KITENGO CHA HABARI NA MAWASILIANO
OFISI YA MKUU WA MKOA 
SINGIDA


No comments:

Post a Comment