Wednesday, December 09, 2015

AGIZO LA RAIS LA KUTUMIA PESA YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI KUNUNUA DAWA MKOANI SINGIDA LATEKELEZWA

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Kone akimkabidhi moja kati ya boksi ya dawa zilizonunuliwa Mkuu wa Wilaya ya Singida Said  Amanzi.
 
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Kone akimkabidhi moja kati ya boksi ya dawa zilizonunuliwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba Lucy Mayenga.
 
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Kone akimkabidhi moja kati ya boksi ya dawa zilizonunuliwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Charles Gishuli.
 
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Kone akimkabidhi moja kati ya boksi ya dawa zilizonunuliwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Charles Gishuli.
 
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Kone akitoa taarifa ya utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli la kununua dawa za waathirika wa Virus vya Ukimwi badala ya kufanya maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani ambayo kitaifa yangefanyika Mkoani Singida; shilingi milioni 36 zimetumika kununua dawa hizo.

No comments:

Post a Comment