Monday, October 12, 2015

MKUU WA WILAYA MPYA WA MKALAMA AAPISHWA.

Mkuu mpya wa Wilaya ya Mkalama Christopher Ng'ubyagai akiapa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone, kushoto kwake ni Katibu Tawala Mkoa wa Singida Festo Kang'ombe.
 
 Mkuu mpya wa Wilaya ya Mkalama Christopher Ng'ubyagai akitia saini viapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone, kushoto kwake ni Katibu Tawala Mkoa wa Singida Festo Kang'ombe.
 
 Mkuu mpya wa Wilaya ya Mkalama Christopher Ng'ubyagai akiawa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone.
 
 Mkuu mpya wa Wilaya ya Mkalama Christopher Ng'ubyagai akiawa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone, wa kwanza kulia ni mke wa Mkuu wa Wilaya Christopher Ng'ubyagai.
Mkuu mpya wa Wilaya ya Mkalama Christopher Ng'ubyagai.

No comments:

Post a Comment