Thursday, August 27, 2015

MAONYESHO YA SIDO YA WAJASIRIAMALI WADOGO WADOGO WA KANDA YA KATI YANAFANYIKA MKOANI SINGIDA (PICHA).

Akina mama wajasiriamali wakionyesha bidhaa za usindikaji walizozitengeneza.Bw Conrad Urassa Mkazi wa Singida akitazama bidhaa katika banda la SIDO.


Wananchi wa Singida wakipata maelezo ya namna ya kutambua usalama wa bidhaa za chakula, dawa na vipodozi katika banda la Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini (TFDA).

Mashine mbalimbali zilizotengenezwa na wajasiliamali nazo zinapatikana katika maonyesho hayo.
 Wazee nao wakionyesha silaha za jadi na bidhaa za uchongaji waliozitengeneza.

No comments:

Post a Comment