Thursday, May 01, 2014

PICHA ZA MEI MOSI 2014 MKOANI SINGIDA.

KAULI MBIU YA SIKU YA WAFANYAKAZI 2014, "UTAWALA BORA UTUMIKE KUTATUA KERO ZA WAFANYAKAZI".

WAFANYAKAZI WA TUGHE BOMA MKOA WAKIJIANDAA  KUANDAMANA KATIKA MAADHIMISHO YA MEI MOSI.
 
WAFANYAKAZI WA TUGHE BOMA MKOA WAKIJIANDAA  KUANDAMANA KATIKA MAADHIMISHO YA MEI MOSI.
WAFANYAKAZI WA TUGHE BOMA MKOA WAKIJIANDAA  KUANDAMANA KATIKA MAADHIMISHO YA MEI MOSI.

BAADHI YA WAFANYAKAZI HODARI WAKIFUATILIA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA  MEI MOSI.

MKUU WA MKOA WA SINGIDA DKT. PARSEKO KONE AKIWA JUKWAANI NA MWENYEKITI WA SHEREHE ZA MEI MOSI 2014, MRATIBU WA RAAWU KUTOKA VETA SINGIDA  BLANDINA MARWA, WA KWANZA CHINI NI MKUU WA WILAYA YA SINGIDA MWL. QUEEN MLOZI.

MKUU WA MKOA WA SINGIDA DKT. PARSEKO KONE AKIMKABIDHI CHETI CHA MFANYAKAZI HODARI MHASIBU MSAIDIZI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SINGIDA FARAJA ALFAYO KATAZE PEMBENI YAKE NI MKUU WA WILAYA YA SINGIDA MWL. QUEEN MLOZI.

AFISA UTUMISHI OFISI YA MKUU WA MKOA BW SAMSON NTUNGA (aliyeshika jarida) AKIWA PAMOJA NA WAFANYAKAZI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SINGIDA KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI 2014, UWANJA WA NAMFUA MJINI SINGIDA.

No comments:

Post a Comment