Tuesday, March 25, 2014

HABARI MPASUKO



Habari za hivi punde zinasema kuwa, John Tupa, Mkuu wa Mkoa wa Mara, (pichani) amefariki ghafla muda mchache uliopita.

Kwa mujibu wa mtoa habari ni kuwa marehemu Tupa, alikuwa akitoka katika moja ya kikao cha utendaji mkoani kwake ambapo baada ya kupewa Maelezo mafupi alikuwa akielekea eneo husika kwa ajili ya kutembelea na kukagua kile alichoelezwa katika taarifa hiyo, na wakati akipanda gari ndipo alipoanguka na kupoteza maisha.

Mungu ametoa na Mungu ametwa, Mungu ailaze roho ya Marehemu Tupa mahala pema pepon, Amina.

No comments:

Post a Comment