Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Mahusiano na Uratibu Mary M. Nagu akiagana na wananchi wa Kijiji cha Manguanjuki, Kata ya Mtipa, Manispaa ya Singida Mkoani Singida wanaonufaika na ruzuku ya TASAF ya kunusuru Kaya masikini mara baada ya kuzungumza nao.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Mahusiano na Uratibu Mary M. Nagu akiwa katika picha ya pamoja na wananchi wa Kijiji cha Manguanjuki,
Kata ya Mtipa, Manispaa ya Singida Mkoani Singida wanaonufaika na
ruzuku ya TASAF ya kunusuru Kaya masikini.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Mahusiano na Uratibu Mary M. Nagu akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Manguanjuki,
Kata ya Mtipa, Manispaa ya Singida Mkoani Singida wanaonufaika na
ruzuku ya TASAF ya kunusuru Kaya masikini, kulia kwake ni Mkurugenzi wa Uratibu TASAF makao makuu Bw. Alfonse Kyariga.
Jengo la utawala la shule ya Sekondari ya Mtipa, Manispaa ya Singida, Mkoani Singida lililojengwa na mradi wa TASAF II, Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Mahusiano na Uratibu Mary M. Nagu alitembelea jengo hilo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Mahusiano na Uratibu Mary M. Nagu na Mkurugenzi wa Uratibu TASAF makao makuu Bw. Alfonse Kyariga wakitazama jengo la utawala la Sekondari ya Mtipa, Manispaa ya Singida, Mkoa wa Singida, lililojengwa na mradi wa TASAF II.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Mahusiano na Uratibu Mary M. Nagu akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida kabla ya kuanza ziara ya siku moja ya kuwatembelea wananchi wa Manispaa ya Singida Mkoani Singida wanaonufaika na
ruzuku ya TASAF ya kunusuru Kaya masikini.
Katibu Tawala Mkoa wa Singida Aziza Mumba akisoma taarifa ya mradi wa TASAF Mkoani Singida kwa Waziri wa Nchi
Ofisi ya Raisi Mahusiano na Uratibu Mary M. Nagu kabla ya kuanza ziara
ya siku moja katika Manispaa ya Singida Mkoani Singida kutembelea
wanaonufaika na
ruzuku ya TASAF ya kunusuru Kaya masikini.
No comments:
Post a Comment