Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta ParsekoVicent Kone nje ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida leo asubuhi.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta ParsekoVicent Kone akizungumza na IGP Mangu katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida leo asubuhi.
IGP Mangu akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta ParsekoVicent Kone katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida leo asubuhi.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta ParsekoVicent Kone wakimsikiliza IGP Mangu katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment