Thursday, July 30, 2015

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA MKOA WA SINGIDA YALIVYOFANYIKA WILAYANI MANYONI, 25 JULAI, 2015 (PICHA).


 
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko V. Kone akiweka ngao na Mkuki katika mnarawa kumbukumbu ya mashujaa Wilayani Manyoni.
  
 
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Charles Gishuli akiweka upinde na mshale katika mnara wa kumbukumbu ya mashujaa Wilayani Manyoni kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Fatma Toufiq.
 
 
 
Katibu Tawala Msaidizi- Miundombinu Tiluganilwa Mayunga akiweka Mundu katika mnara wa kumbukumbu ya mashujaa Wilayani Manyoni kwa niaba ya watumishi wote wa serikali Mkoa wa Singida.
 

 

Afisa Michezo na Utamaduni Mkoa wa Singida Henry Kapela akiweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu ya mashujaa Wilayani Manyoni.
 

 
Mmoja wa mashujaa wa vita akiweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu ya
mashujaa Wilayani Manyoni.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko V. Kone akiwa katika picha ya pamoja na mashujaa waliopigana vita mbalimbali katika mnara wa kumbukumbu ya mashujaa Wilayani Manyoni.


No comments:

Post a Comment