Wednesday, June 24, 2015

MKUU WA MKOA WA SINGIDA MHE. DR. PARSEKO VICENT KONE ATUNUKIWA NISHANI YA JAMHURI YA MUUNGANO DARAJA LA KWANZA

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe Dr Jakaya Mrisho Kikwete amemtunuku Dr Parseko Vicent Kone Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la kwanza kwa Utumishi wa muda mrefu na uliotukuka.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Parseko Vincent Kone baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani za Jamhuri ya Muungano daraja la kwanza.    
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani za Jamhuri ya Muungano daraja la kwanza, Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la kwanza na Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la pili na Ushupavu Jumanne Juni 23, 2015 katika ukumbi mpya wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment