Friday, February 20, 2015

UHAMISHO WA WAKUU WA WILAYA, NANI ANATOKA NANI ANAINGIA MKOA WA SINGIDA. (PICHA)
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Singida Queen Mwashinga Mlozi anahamia Wilaya ya Urambo, Mkoani Tabora.Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mkoani Morogoro Bw Saidi Ally Amanzi anahamia Wilaya ya Singida Mkoani Singida.

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba Yahya Nawanda akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko V. Kone anahamia Wilaya ya Lindi Mkoani Lindi.Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora Lucy Thomas Mayenga (MB) anahamia Wilaya ya Iramba Mkoani Singida.


Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Manju Salum Msambya anahamia Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza.
 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma Ndg. Gishuli Mbegesi Charles (anayekata utepe) anahamia Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.

No comments:

Post a Comment