Saturday, January 17, 2015

WATOTO 40 WA JAMII YA WAHADZABE WAANZA SHULE YA MSINGI. (Picha)
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko V. Kone akimvalisha sare za shule mtoto Kone Paschali kutoka jamii ya wahadzabe wanaoishi eneo la Kipamba na Munguli, Kata ya Mwangeza Wilaya ya Mkalama. Jamii ya wahadzabe huishi porini na huendesha maisha yao kwa kuwinda wanyama, kula matunda, mizizi na asali.

Mrembo wa Singida na Kanda ya kati Doris Mollel akimvalisha sare mtoto wa jamii ya wahadzabe, mrembo huyo ametoa msaada wa blanketi 40 za kujifunika, madaftari, vitabu na kalamu. Pia ameahidi kuwajengea wanafunzi hao wa kihadzabe maktaba.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko V. Kone akiwa na watoto wa jamii ya wahadzabe wanaoishi eneo la Kipamba na Munguli, Kata ya Mwangeza Wilaya ya Mkalama. Jamii ya wahadzabe huishi porini na huendesha maisha yao kwa kuwinda wanyama, kula matunda, mizizi na asali.

Jamii ya wahadzabe kutoka maeneo ya Munguli na Kipamba wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko V. Kone akiwaelimisha umuhimu wa watoto wa jamii ya wahadzabe kupata elimu.
Mwenyekiti wa jamii ya wahadzabe kutoka maeneo ya Munguli na Kipamba Shiili Mashimba akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko V. Kone akiwaelimisha umuhimu wa watoto wa jamii ya wahadzabe kupata elimu.
Jamii ya wahadzabe kutoka maeneo ya Munguli na Kipamba wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko V. Kone akiwaelimisha umuhimu wa watoto wa jamii ya wahadzabe kupata elimu.
Mrembo wa Singida na Kanda ya kati Doris Mollel akitoa msaada wa blanketi 40 za kujifunika, madaftari, vitabu na kalamu. Pia ameahidi kuwajengea wanafunzi hao wa kihadzabe maktaba. Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone anaziomba taasisi, vikundi, makampuni na watu binafsi kujitolea kusaidia elimu kwa jamii hiyo ya wahadzabe.

No comments:

Post a Comment