Mwandishi wa Habari wa ITV/Radio One Mkoa wa Singida Elisante Mkumbo akifurahia wakati akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Polisi Nchini IGP Simon Sirro.
Mwandishi wa Habari wa Startv/Radio Free Africa Mkoa wa Singida Emmanuel Michael akifurahia wakati akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Polisi Nchini IGP
Simon Sirro.
Mwandishi wa Habari wa Habarileo/Daily News Mkoa wa Singida Abby Nkungu
akifurahia wakati akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Polisi Nchini IGP
Simon Sirro.
No comments:
Post a Comment