Friday, January 19, 2024

SERIKALI MKOANI SINGIDA YAAHIDI NEEMA KWA WAWEKEZAJI


Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba, leo tarehe 19 Januari, 2024 ametembelea kiwanda cha kusindika mafuta ya alizeti WILD FLOWER GRAINS AND OIL MILL COMPANY LIMITED kilichopo Manga katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida ambapo amepongeza juhudi za mwekezaji wa kiwanda hicho na kumuahidi ushirikiano ili kuinua uchumi wa mkoa na wananchi mkoani humo.


No comments:

Post a Comment