Thursday, February 28, 2019

RC SINGIDA AKIWA KWENYE ZIARA KUKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA SINGIDA NA KITUO CHA AFYA MSANGE HALMASHAURI YA WILAYA SINGIDA

Picha. UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA SINGIDA, KIJIJI CHA SEKETULE KATA YA ILONGERO MKOANI SINGIDA.

Mkuu wa mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akipokelewa mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Seketuli Kata ya Ilongero, ili kujionea maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya halmashauri ya wilaya Singida.


Mkuu wa mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akijionea maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya halmashauri ya wilaya Singida.

Ujenzi ukiendelea jengo la utawala






  Mkuu wa mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akipata taarifa mbalimbali kutoka kwa kamati za ujenzi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya halmashauri ya wilaya Singida.

 Harakati za ujenzi wa hospitali ya halmashauri ya wilaya Singida ukiendelea.



 Mkuu wa mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akizungumza na mafundi pamoja na wanakamati za ujenzi wa hospitali ya halmashauri ya wilaya Singida mkoani Singida. 



 Mkuu wa mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akisalimiana na fundi anayejenga jengo la dawa la hospitali ya halmashauri ya Wilaya Singida mkoani Singida.



KATIKA HATUA NYINGINE

Picha. UJENZI WA KITUO CHA AFYA MSANGE HALMASHAURI YA WILAYA SINGIDA 
Mkuu wa mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akiwasili katika kituo cha afya Msange halmashauri ya wilaya Singida ili kujionea maendeleo ya ujenzi.









  Mkuu wa mkoa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akitembelea ujenzi wa nyumba ya Mganga mkuu wa kituo cha afya Msange katika halmashauri ya wilaya Singida kujionea maendeleo ya ujenzi.





Ujenzi wa nyumba ya Mganga mkuu wa kituo cha afya Msange katika halmashauri ya wilaya Singida ukiendelea.

IMETOLEWA NA;
 KITENGO CHA HABARI NA MAWASILIANO
OFISI YA MKUU WA MKOA
SINGIDA

No comments:

Post a Comment